Uchapishaji wa T-shirt
Uchapishaji wa T-shirt kwa matukio, timu, biashara na kampeni. Tunasaidia kuchagua njia inayofaa kulingana na muundo, rangi na idadi.
Omba bei ya huduma hii ↗Kutoka logo na graphic design hadi uchapishaji wa bidhaa, tunasaidia kuunganisha muundo na matumizi yake halisi.
Uchapishaji wa T-shirt kwa matukio, timu, biashara na kampeni. Tunasaidia kuchagua njia inayofaa kulingana na muundo, rangi na idadi.
Omba bei ya huduma hii ↗Weka chapa yako kwenye mifuko, vifungashio, gift boxes na lebo ili bidhaa zako zitambulike kwa urahisi.
Omba bei ya huduma hii ↗Mabango ya matangazo, matukio, maduka na ofisi yenye maandishi yanayoonekana na muundo unaoeleweka.
Omba bei ya huduma hii ↗Logo inayolingana na utambulisho wa biashara yako, pamoja na faili zinazofaa kwa matumizi ya kidijitali na uchapishaji.
Omba bei ya huduma hii ↗Kadi za biashara zenye mpangilio safi wa mawasiliano yako kwa matumizi ya kitaalamu.
Omba bei ya huduma hii ↗Zawadi na bidhaa za matangazo zilizobinafsishwa kwa biashara, timu na hafla.
Omba bei ya huduma hii ↗Stika za bidhaa, milango, magari na madirisha pamoja na lebo za ufungashaji.
Omba bei ya huduma hii ↗Flyers, posters, mitandao ya kijamii, menus na vifaa vingine vya mawasiliano ya biashara.
Omba bei ya huduma hii ↗Alama za ofisi, maduka na maeneo ya biashara zinazosaidia wateja kutambua mahali na huduma.
Omba bei ya huduma hii ↗Uchapishaji wa screen na DTF kwa T-shirt, sare, bidhaa za matangazo na oda maalum. Bei na njia inayofaa hutegemea aina ya kitambaa, idadi na idadi ya rangi.
Omba bei ya huduma hii ↗Jaza fomu ya ombi la bei kwenye tovuti au wasiliana nasi kwa simu/WhatsApp. Taja aina ya kazi, idadi, ukubwa na muda unaohitaji.
Ndiyo. Unaweza kutuma artwork, logo au maelekezo yako kupitia fomu ya ombi la bei au WhatsApp. Tutakushauri kuhusu ubora wa faili kwa uchapishaji.
Ndiyo. Tunapokea kazi zinazolingana na huduma zetu. Baadhi ya bidhaa hutengenezwa kwa oda; muda na bei hutegemea maelezo ya kazi.
Wasiliana nasi ukitumia namba ya oda au simu iliyotumika kuagiza. Tutakupa taarifa ya hatua iliyofikiwa.
Tuma maelezo na idadi ili tukusaidie kupanga hatua zinazofuata.